Skip to main content
Skip to main content

MRADI WA TRACE KUCHUNGUZA AFLATOXIN KWA WATOTO KILIFI

  • | KNA Video
    33 views
    Duration: 4:32
    Serikali kwa ushirikiano na KEMRI imeanzisha mradi wa TRACE katika kaunti ya Kilifi kuchunguza athari za sumu ya aflatoxin kwa watoto, hasa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Mradi huo unalenga kusaidia kubuni sera za kulinda maisha ya watoto kupitia ushahidi wa kisayansi, huku wadau wakisema juhudi za kupunguza vifo vya watoto zimeanza kusita. Wataalamu pia wanaonya kuwa aflatoxin inaweza kupunguza ufanisi wa chanjo na kusababisha watoto kukosa kinga au kudumaa. Utafiti huo wa miaka mitatu utachunguza mienendo ya jamii inayochangia tatizo hilo, kwa lengo la kupata suluhisho la kudumu.