- 190 viewsShirika la Umoja wa Mataifa la misaada kwa Wapalestina, UNRWA, limeonya kuhusu hatari ya baa la njaa katika ukanda wa Gaza, huku msimu wa baridi ukiingia, wakati ambapo wale waliokoseshwa makazi wanaendelea kulala kwenye sakafu katika mazingira duni wakizungukwa na uchafu wa vyoo. UNRWA imesema wanahitaji msaada wa dharura. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Msaada wa dharura unahitajika kwa Wapalestina
- 12 Dec 2024 - Gambian President Adama Barrow was among the notable guests at Uhuru Gardens in Nairobi to celebrate Kenya's Jamhuri Day fete.
- 12 Dec 2024 - The ongoing national wildlife census will help the government formulate wildlife conservation policy.
- 12 Dec 2024 - The psychiatrist also noted a worrying rise in suicide cases in the region, with most victims being men. He attributed the growing mental health crisis to conditions like depression, schizophrenia, and substance abuse.
- 12 Dec 2024 - Huldah Momanyi Hiltsley, the Kenya-born woman who won a Minnesota House Representative seat in the recent U.S. general elections, has described President William Ruto as someone with a heart for Kenyans.
- 12 Dec 2024 - Sakaja announced plans to appreciate and honour artists more in future
- 12 Dec 2024 - Facebook, Instagram, Messenger, WhatsApp and Threads on Wednesday all experienced issues as a result of a global outage affecting Meta’s apps. Meta acknowledged a “technical issue” in a post on X. “We’re aware that a technical issue is impacting some…
- 12 Dec 2024 - Wajir Air Base (WAB) has become the latest Kenya Defence Forces (KDF) unit to receive its Presidential and Regimental Colour during the 61st Jamhuri Day Celebration. The event took place at Uhuru Gardens where the Jamhuru celebration event was held…
- 12 Dec 2024 - Digital marketing technology firm, 5DM Africa, has been recognized for its innovative marketing technology which has helped businesses achieve their targets. The adtech company secured Bronze for Best Digital Tool/Software with Media Path and Silver for…
- 12 Dec 2024 - The matatu conductor expressed his excitement while revealing the news of the invite.
- » CAF President Dr.Motsepe Congratulates Morocco on winning FIFA World Cup 2030 co hosting rights with Spain and Portgugal12 Dec 2024 - The Confédération Africaine de Football (“CAF”) President, Dr Patrice Motsepe has congratulated Morocco after it was awarded the Co-hosting Rights with Portugal and Spain of the FIFA World Cup 2030 at the FIFA Extraordinary Congress which was held…