Msafara wa MPESA sokoni wazawadi wakenya katika maadhimisho ya miaka 18 ya huduma hiyo

  • | Citizen TV
    286 views

    Msafara wa MPESA Sokoni unaendelea kuwatumbuiza na kuwazawadi wakenya katika sherehe za kuadhimisha miaka 18 ya huduma za MPESA nchini. Hii leo, msafara huo ulitua kw akishindo katika kaunti za Kisii na Nyamir huku kampuni ya Safaricom ikishirikiana na vituo vya redio vya Royal Media Services kufanikisha hafla hiyo