Msafara wa M-Pesa sokoni wasisimua Busia na Ugunja

  • | Citizen TV
    344 views

    Msafara wa MPESA Sokoni unazidi kupamba moto kote nchini, leo ukizuru Busia, Ugunja, Usenge na Bondo katika maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za MPESA kwa Wakenya. Msafara huo ulioongozwa na watangazaji wa Ramogi FM na Radio Citizen, uliwasisimua wakazi wa maeneo haya, huku wengi wakijishindia zawadi tele na kufurahia burudani