Msafara wa MPESA sokoni wawasisimua wakazi mlimani

  • | Citizen TV
    64 views

    Msafara wa MPESA Sokoni umezidi kuwasisimua wakazi wa eneo la Mlima Kenya, huku Safaricom ikiungana na wateja wake kusherehekea miaka 18 ya huduma za MPESA nchini. Kampuni ya Royal Media Services imeshirikiana na Safaricom kusambaza ujumbe huo mashinani kupitia msafara wa MPESA Sokoni