Msafara wa Mseto vyuoni

  • | Citizen TV
    274 views

    Kampuni ya Royal Media Services imeshirikiana Na watengenezaji Wa unga wa Raha premium na Pepsi kwenye msafara wa Mseto campus tour. Msafara huo wa kwanza kabisa mwaka Huu unalenga kutambua na kukuza vipaji vyuoni. Watangazaji Wa Radio Citizen walijumuika katika sherehe hizo ambazo pia zilitoa mafunzo kuhusu lishe Bora