Msafara wa Safaricom sambaza furaha wafika Kericho

  • | Citizen TV
    310 views

    Ikiwa Ni Siku Ya Pili Ya Msafara Wa Kampuni Ya Mawasiliano Ya Safaricom Kwa Ushirikiana Na Royal Media Serivices, Unaolenga Kusambaza Furaya Ya Krismasi Pamoja Na Kusherehekea Miaka Ishirini Na Minne Tangu Kampuni Hiyo Kuanza Kutoa Huduma Nchini, Msafara Huo Unazuru Maeneo Ya Kapkatet-Litein- Ngoina-Kabianga-Sosiot- Kapsoit-Na Kukamilika Kericho. Wakenya Wanazidi Kujishindia Zawadi Mbali Mbali Kwenye Msafara Huo.