Msaidizi wa rais Farouk Kibet ataka Wakenya kuondoka maeneo yaliohatarini ya mafuriko

  • | Citizen TV
    1,470 views

    Afisa katika afisi ya rais farouk kibett amewataka watu wanaoishi katika maeneo yaliyo katika hatari ya kukumbwa na mafuriko kuhamia maeneo salama ili kuepuka maafa yanayotokana na mafuriko. Kibet alisema haya alipoongoza harambee ya ujenzi wa kanisa katoliki la chelelemuk eneo bunge la Teso Kaskazini. Kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichungwa na mwenzake wa seneti Aaron Cheruyot walimshutumu kinara wa azimio raila odinga kuhusu matamshi yake ya hapo jana alipokosoa serikali kuhusiana na jinsi inavyokabiliana na janga hili la mafuriko.