Msako wa pombe haramu kuendelezwa eneo la Kamkuywa mara mbili kwa mwezi

  • | West TV
    53 views
    Naibu kamishna wa kaunti ndogo ya kimilili jackson ole juda ameongoza oparesheni dhidi ya pombe haramu katika eneo hilo akishikilia kuwa wanalenga kumaliza ugemaji na unywaji wa pombe haramu ambao umekithiri katika eneo hilo.