Mseto campus tour yarejea kwa kishindo baada ya kuvurugwa na tandavu ya Covid-19

  • | Citizen TV
    298 views

    Baada ya kuvurugwa na tandavu ya Covid-19 mseto campus tour imerejea kwa kishindo. Kampuni ya royal media services imeshirikiana na safaricom kusaka, kukuza na kulea vipaji.