Magatuzini: Gereza la Wanawake la Lang'ata lanufaika na uzinduzi wa vituo vitatu vipya

  • | KBC Video
    18 views

    Gereza la Wanawake la Lang'ata limenufaika kutokana na uzinduzi wa vituo vitatu vipya katika gereza hilo. Miongoni mwa vituo hivyo ni kitengo cha ushauri, eneo la mapishi na karakana. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News