- 16,347 viewsShirika la misaada ya kibinadamu la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limeonya kwamba hali katika jimbo la Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inazidi kuwa mbaya. MSF inasema watu huko wanakabiliwa na mashambulizi ya vurugu, kulazimishwa kukimbia nyumba zao, na kuhangaika kupata huduma za matibabu. Katika ripoti hiyo mpya, MSF inasema maisha yanazidi kuwa hatari zaidi kwa jamii zilizoko kwenye mzozo huko mashariki mwa DRC, ambapo Umoja wa Mataifa unasema mapigano hayo yamewafanya zaidi ya watu laki moja kukosa makazi. Tangu mwanzo wa mwaka huu, zaidi ya watu 200 wameuawa katika mashambulizi, na wengine wengi kujeruhiwa. MSF inasema madaktari wao wamewatibu manusura wa mashambulizi ya mapanga na risasi, wakiwemo watoto na wanawake wajawazito.
MSF yasema hali ni mbaya Ituri, mashariki mwa DRC, katika Dira ya Dunia TV
- - Duniani Leo ››
- 17 Jun 2025 - According to Pastor John Njoroge from PISGHA Academy, the medical camp had come at the right time, as families were undergoing untold suffering.
- 17 Jun 2025 - Jerop's Russian partner told her that his ailing father wanted to meet their one-year-old daughter.
- 17 Jun 2025 - Ruto government had promised to double allocation and raise number of beneficiaries.
- 17 Jun 2025 - Power wrangles rock Kaimosi Friends University over VC job
- 17 Jun 2025 - Firm opposes DPP plan to withdraw Sh918m case against businessman
- 17 Jun 2025 - What Kenya can do to reduce the high number of bad loans
- 17 Jun 2025 - Gachagua credits survival to State insider network
- 17 Jun 2025 - KQ searches for new partner to set up regional airline after S Africa bolts out
- 17 Jun 2025 - Who benefits from CBK's low lending rates?
- 17 Jun 2025 - Rotten at the top: Inside the deadly secrets of Central Police Station