Mshindi wa medali ya fedha kwenye mashindano ya olimpiki kwa walemavu Samson Ojuka arejea nchini

  • | Citizen TV
    596 views

    Mshindi Wa Medali Ya Fedha Kwenye Mashindano Ya Olimpiki Kwa Walemavu Samson Ojuka Amelakiwa Kwa Vigelegele Akirudi Nchini Asubuhi Ya Leo.