5 Feb 2026 1:29 pm | Citizen TV 1,439 views Duration: 47s Mshukiwa mkuu katika uvamizi wa uchomaji wa nyumba na Uharibifu wa mali katika kijiji Kapkanyar eneo mbunge la Marakwet West Pius Yano alikamatwa na kufikishwa mahakamani jijini Iten.