17 Dec 2025 10:08 am | Citizen TV 220 views Duration: 1:13 Maafisa wa usalama katika mji wa Garissa wamnasa mshukiwa mmoja na mitugi zaidi ya sitini ya mafuta ya petroli inayouzwa kimagendo na baadhi ya wanabiashara viungani mwa mji huo.