Mshukiwa Julius Macharia kuzuiliwa rumande King'ong'o

  • | Citizen TV
    116 views

    Nicholas Julius Macharia, Mshukiwa mkuu kwenye mauaji ya Tamara Blessing kabura mtoto wa miaka 7 aliyepatikana ameuwawa na kuzikwa ndani ya nyumba yake kijijini witemere nyeri mjini, amekana kutekeleza unyama huo, alipofikishwa mbele ya jaji Kizito magare mahakamani Nyeri