24 Sep 2025 1:52 pm | Citizen TV 1,089 views Duration: 1:18 Mshukiwa mkuu wa mauaji ya kinyama ya msichana mmoja aliyepatikana ameuwawa na kuzikwa eneo la Nyaosi katika kaunti ya Nyamira, alikana mashtaka katika mahakama kuu ya Nyamira kujibu.