Mshukiwa mmoja wa wizi ateketezwa hadi kufa eneo la Machakos

  • | Citizen TV
    2,322 views

    Mshukiwa mmoja wa wizi ameteketezwa moto hadi kufa na wananchi waliokua na ghabhabu baada ya kupatikana akiiba katika kanisa la AIC Ngonda huko Matungulu kaunti ya Machakos.