24 Sep 2025 10:10 am | Citizen TV 131 views Duration: 1:11 Mshukiwa mkuu wa mauaji ya kinyama ya msichana mmoja aliyepatikana ameuwawa na kuzikwa eneo la Nyaosi katika kaunti ya Nyamira, alikana mashtaka katika mahakama kuu ya Nyamira kujibu.