Mshukiwa wa mauaji Kiambu Gachugi kuzuiliwa siku 14

  • | Citizen TV
    3,652 views

    Mshukiwa mkuu wa mauaji ya watu wanne yaliyotokea katika kijiji cha Gachugi, Gatundu kaskazini kaunti ya Kiambu Jumatatu usiku atasalia kizimbani kwa siku kumi na nne. Maafisa wa polisi waliomfikisha Dominic Ngige Nguku katika mahakama ya Gatundu waliomba muda zaidi kuendelea kumzuilia huku uchunguzi ukiendelea. Haya yamejiri huku familia za waliouawa zikidai haki