Mshukiwa wa mauaji Siaya achomwa

  • | Citizen TV
    1,201 views

    MSHUKIWA MMOJA WA UJAMBAZI AMETEKETEZWA HADI KUFA HUKO SIAYA BAADA YA WAKAZI KUMTOA KATIKA KITUO CHA POLISI CHA YALA NA KUMCHOMA. MSHUKIWA HUYO ANADAIW AKUHUSIKA NA MAUAJI YA WANAWAKE ENEO HILO. HAYA NI HUKU WAKAZI WA EMBU WAKISHEREHEKEA KUUWAWA KWAJAMABAZI SUGU ALIYETOROKA KUTOKA KWENYE GARI LA MAHABUSU