- 7,246 viewsDuration: 1:51Maafisa wa upelelezi eneo la Embakasi wanachunguza kisa cha mauaji ya msichana wa kati ya miaka 10 hadi 13 aliyeuawa na mwili wake kutupwa kilomita moja kutoka kituo cha polisi cha Embakasi. Msichana huyo alipatikana akiwa uchi huku nguo zake zikiwa kando ya mwili wake.