Msigwa aeleza bado anaimani timu ya Tanzania itafuzu AFCON 2025
Geron Msigwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa kufuzu kuingia kwenye michuano ya Afcon 2025 kati ya Taifa Stars -Tanzania na timu ya DRC Leopard kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa mjini Daressalaam Tanzania.
Baada ya mchezo Katibu wa wizara hiyo Gerson Msigwa ameelezea kutoridhishwa na matokeo hayo huku akionyesha imani juu ya timu hiyo kufuzu fainali za AFCON 2025 zitakazofanyika nchini Morocco.
Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars imepoteza mchezo wa marejeano wa kufuzu fainali za AFCON 2025 dhidi ya DR Congo kwa mabao 2-0 mchezo uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Mabao ya Congo yamefungwa na mshambuliaji Meshack Elia katika dakika za 88 na 90+, nyota huyo akiitumikia Young Boys ya Uswisi katika ngazi ya klabu.
Licha ya kupoteza mashabiki wa Stars wamezungumzia mchezo huo wakionyesha ilipokosea.
Hadi sasa kwenye msimamo wa kundi H, linaongozwa na DR Congo wenye pointi 12 ambao tayari wamefuzu kwenye fainali hizo, Tanzania (Taifa Stars) nafasi ya pili ikiwa na pointi 4, Guinea nafasi ya tatu pointi 3, Ethiopia ikishika mkia ikiwa na pointi 1.
#tanzania #afcon2025 #drc #naibuwaziri #hamismwinjuma #daressalaam #benjaminmkapa #uwanja
18 Jun 2025
- Previously, attacks by most aquatic animals did not guarantee compensation.
18 Jun 2025
- In March this year, UDA and ODM signed an agreement that saw politicians from both parties work together.
18 Jun 2025
- A police officer was caught on camera shooting the hawker during the Tuesday protests.
18 Jun 2025
- The protests in Nairobi reportedly injured at least 17 people, including a hawker shot at close range by a police officer.
18 Jun 2025
- Inspector Christine Muthoni of Muthangari Police Station reported the incident early on Tuesday morning.
18 Jun 2025
- In a statement issued Wednesday morning, the Commission expressed deep concern about the violent crackdown on demonstrators demanding the resignation of Deputy Inspector General of Police Eliud Lagatt in the aftermath of the controversial death of…
18 Jun 2025
- Roba’s resignation was communicated through a formal letter dated June 18, 2025, addressed to the County Assembly Clerk, citing “personal reasons” for his decision to step down effective June 17.
18 Jun 2025
- Previously, attacks by most aquatic animals did not guarantee compensation.
18 Jun 2025
- The father of Boniface Mwangi Kariuki, the 22-year-old hawker who was shot in the head by an anti-riot police officer along Moi Avenue in Nairobi during protests, is now appealing for justice and speedy action.
18 Jun 2025
- The crash, which occurred around 6:00 p.m. and involved three vehicles, injured more than 50 people, including several Moi University students who were on a school bus.
18 Jun 2025
- A police officer was caught on camera shooting the hawker during the Tuesday protests.
18 Jun 2025
- He rose to national and international notoriety in the late 1990s and early 2000s through his “miracle babies” claims.
18 Jun 2025
- Trump has repeatedly offered to mediate between India and Pakistan to solve the "Kashmir issue" since a four-day conflict in May.