- 863 viewsDuration: 4:54Msikiti wa Jamia jijini Nairobi unaadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake na umefungua milango yake kwa wasio waislamu ili waweze kujifunza zaidi kuhusu dini ya kiislamu. Siku ya utangamano ya mwaka huu imetumika kuhimiza umuhimu wa umoja licha ya tofauti za kidini. Leo, wageni waliotembelea msikiti huo walipata fursa adimu ya kutembelea maeneo matakatifu ya ibada na kupata uzoefu wa moja kwa moja wa maisha na mafundisho ya dini ya Kiislamu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive