ODM yaunga mkono Kenya Kwanza, yasisitiza umoja kati ya wanachama

  • | Citizen TV
    5,332 views

    BODI KUU YA CHAMA CHA ODM SASA IMETOA MSIMAMO WA CHAMA HICHO NA KUSEMA KITAENDELEA KUUNGA MKONO SERIKALI YA KENYA KWANZA KUPITIA MAKUBALIANO YAO ILI KULETA UTULIVU NCHINI. KATIKA KIKAO KILICHOONGOZWA NA KINARA WA CHAMA HICHO RAILA ODINGA, ODM PIA IMETOA UAMUZI KUWA WANACHAMA WOTE WAWEKE KANDO TOFAUTI ZAO NA KUSHIRIKIANA ILI KUIMARISHA MATAKWA YA CHAMA.