- 172 viewsDuration: 4:03Msitu wa Kaptagat ulioko katika kaunti za Elgeyo Marakwet na Uasin Gishu ni chanzo cha mito 7 muhimu nchini. Serikali imeweka bayana umuhimu wa kuweka ua kwenye msitu huo kama njia moja ya kulinda mazingira na vyanzo vya maji ....kufikia sasa serikali imeanza kuwapa wakazi ng'ombe wa kisasa ili walishwe nyumbani na si kwenye msitu huo