Msitu wa Shakahola kuwa eneo la kumbukumbu ya kitaifa

  • | K24 Video
    55 views

    Msitu wa Shakahola utakuwa eneo la kumbukumbu ili kuwakumbuka wote waliopoteza maisha yao kutokana na mafunzo ya mhubiri mwenye utata Paul Mackenzie ya kuwataka wafunge hadi waage dunia kwa ajili ya kumuona yesu. Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki ambaye ameafiki kuwa wako na ushahidi wa kutosha katika kesi dhidi ya Mackenzi