Msomi wa PhD afanya kazi ya kufagia.

  • | BBC Swahili
    599 views
    ‘Ndugu na marafiki zangu waliniona kichaa kwa kufanya kazi ya kufagia’ - Lufutu, Mwanafunzi wa PhD Ujasiriamali na kujiajiri inageuka fursa kwa kijana @piuslufutu ambaye alianza taratibu kujishughulisha na kufagia sehemu mbali mbali chuo cha St. Augustine University (SAUT) ikiwa ni sehemu ya kujipatia kipato na ada ya masomo yake ya shahada ya uzamivu (PhD) anayoichukulia hapo hapo chuoni. Lakini licha ya kuwa msomi wa PhD kijana huyu hajaacha kazi yake ya kufagia. Mwandishi wa BBC @frankmavura amekutana na kijana huyu katika chuo chuo chake na kuandalia taarifa hii. #bbcswahili #tanzania #ajira