- 2,819 viewsDuration: 2:54Uchaguzi mkuu wa hivi majuzi nchini Tanzania na uganda umeonakana kuifaidi Kenya na kuchangia kwa mrundiko wa makasha bandarini. Halmashauri ya bandari nchini ikisema imesajili ongezeko la takriban asilimia 11 ya shehena zilizoingia humu nchini mwaka jana