- 866 viewsDuration: 3:37Siku ya kwanza ya muhula wa pili wa masomo imeanza na wasiwasi, huku maandamano ya walimu wa sekondari msingi yakishuhudiwa. Aidha walimu wengine wameapa kugoma wakilalamikia bima ya afya ya sha wanayosema imeendelea kuwahangaisha walimu.