Skip to main content
Skip to main content

Msururu wa uendeshaji baiskeli na upandaji Milima wa Magical Kenya

  • | Citizen TV
    382 views
    Duration: 2:47
    Msururu wa uendeshaji baiskeli na upandaji milima wa Magical Kenya ulianza mkondo wake wa eneo la mlima kenya huku wito ukitolewa kwa wakenya kukumbatia utalii wa michezo nchini katika kaunti mbalimbali. Luqman mahmoud yupo kwenye msafara huo na ametuandalia taarifa ifuatayo.