Mswada wa Fedha 2023 I Kamati ya bunge yaafikiana kuhusu vipengee tata

  • | KBC Video
    57 views

    Kamati ya bunge kuhusu fedha imeafikiana kuhusu vipengee vyote venye utata katika mswada wa fedha mwaka 2023.Kamati hiyo inayoongozwa na mbunge wa Molo Kuria Kimani, ilikubaliana kurekebisha baadhi ya vipengee venye utata baada ya kukongamana kwa siku tano huko Naivasha. Ingawa kamati hiyo haikuelezea kwa mapana ni vipengee vipi vimefanyiwa marekebisho, kamati hiyo ilisema kuwa, maoni ya wananchi na wadau wengine yametiliwa maanani

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #financebill2023