Mswada wa kuongeza kaunti wawasilishwa bunge

  • | Citizen TV
    935 views

    Miaka kumi baada ya ugatuzi, na wengi wanahisi kuwa mfumo huu wa uongozi unaendelea kukua nchini. Na japo magavana wana msimamo huu, baadhi ya wabunge wanahisi kuwa baadhi ya maeneo yao yametengwa na sasa wanapendekeza kuongezwa kwa idadi ya kaunti kutoka 47 hadi 56.