- 139 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Mtaalamu aeleza kuhusu usalama wa akina mama wajawazito kujifungua kwa njia ya maji 'Water birth'
- - Mustakabali Wa Siasa ››
- 13 May 2025 - Healthcare workers under the Universal Health Coverage (UHC) program countrywide on Monday demonstrated outside the Ministry of Health headquarters at Afya House in Nairobi.
- 13 May 2025 - Magistrate BenMark Ekhubi delivered the ruling on Tuesday, allowing an application by the Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP).
- 13 May 2025 - The floods were triggered by heavy rainfall in the nearby Eburru Forest, which sent torrents of water cascading down into surrounding villages. The sudden deluge left a trail of destruction in its wake, washing away property, submerging farmland, and…
- 13 May 2025 - Jude Chesire, the CEO of the Kenya Sugar Board, has asserted that all private investors in the sugar sector will have their licenses revoked by the State if they underdeliver.
- 13 May 2025 - In a decision delivered by Justice R. Nyakundi, the court issued conservatory orders prohibiting the committee—established through Gazette Notice No. 4069, Vol. CXXVII—No. 64 dated March 28, 2025—from compiling reports, issuing recommendations, or…
- 13 May 2025 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has admitted that Haiti's Multinational Security Support Mission has been operating without the necessary equipment and support.
- 13 May 2025 - The protesters had written to IG Douglas Kanja demanding police protection during the protests.
- 13 May 2025 - They called for payment of their gratuities before their payroll is transferred to county governments on July 1
- 13 May 2025 - Floods have rendered parts of the roads impassable, making rescue difficult.
- 13 May 2025 - Kenyans have been invited to submit their views on the changes before May 27.