Mtihani wa kitaifa wa KCSE waanza rasmi

  • | K24 Video
    61 views

    Mtihani wa kitaifa wa KCSE uling’oa nanga mapema leo, huku watahiniwa 903,260 kote nchini wakitarajiwa kukamilisha mtihani huo mwaka huu. Akisimamia zoezi la kusambaza karatasi za mitihani jijini nairobi, katibu katika wizara ya elimu Belio Kipsang aliwahimiza wote wanaohusika na mitihani kuwa waaminifu na kuepukana udanganyifu.