Mtoto chupuchupu kugongwa na gari

  • | BBC Swahili
    1,475 views
    Tazama jinsi mtoto mdogo alivyookolewa na dada yake mwenye umri wa miaka 11 nchini China baada ya kukoswa koswa na gari lililokosea njia na kuingia ndani ya mgahawa Picha za CCTV zinaonyesha gari hiyo ikibomoa milango ya vioo ya mgahawa huo ikielekea kwa kasi alipo mtoto huyo ambapo dada yake mwenye umri wa miaka 11alimuokoa kwakumbeba ghafla na kuacha gari hilo likigonga ukuta. Dereva aliomba msamaha na kulipia uharibifu wa mgahawa huo. #bbcswahili #china #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw