Mtoto wa miezi minne alipotea katika njia tatanishi katika kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    726 views

    Familia moja kutoka eneo la Mosop pamoja na wanaharakati wa haki kaunti ya Nandi wamejitokeza kulalamikia usalama katika baadhi ya hospitali za umma kaunti hiyo.