Mahakamai yamruhusu Lissu kujitetea

  • | BBC Swahili
    19,124 views
    Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu amepokea idhini ya mahakama kujitetea katika kesi ya uhaini inayomkabili. - Lissu amesema anachukua hatua hiyo kwa sababu amezuiwa kuzungumza na mawakili wake kwa faragha. Mwandishi wa BBC @RoncliffeOdit ana taarifa hiyo kwa kina katika DIra ya Dunia TV kwenye ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. - - #bbcswahili #tanzania #Upinzani #siasa #mahakamani #tundulissu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw