Skip to main content
Skip to main content

Mtoto wa miezi mitano atoweka Soweto mtaani Kongwea

  • | Citizen TV
    1,653 views
    Duration: 3:02
    Familia moJa mtaani Soweto - Kongwea kaunti ya Mombasa inamtafuta mtoto wao wa miezi mitano ambaye alitoweka tangu Februari 7. Kulingana na familia hiyo, rafiki yao aliyekuwa amepewa hifadhi nyumbani kwao kwa muda ndiye aliyetoweka na mtoto huyo kwa takriban wiki mbili sasa.