31 Jan 2026 7:57 pm | Citizen TV 8,701 views Duration: 2:02 Mtu mmoja amefariki na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la usafiri wa umma la kampuni ya Runka iliyotokea nje ya lango la shule ya City Primary hapa jijini Nairobi.