Skip to main content
Skip to main content

Mtu mmoja afariki katika ajali ya barabarani, Ngara

  • | KBC Video
    7,431 views
    Duration: 2:48
    Mtu mmoja amefariki na wengine 14 kujeruhiwa baada ya matatu ya chama cha Runka kupoteza mwelekeo katika eneo la Ngara ,jijini Nairobi .Wengi wa waliojeruhiwa ni walimu waliokuwa wakishiriki kwenye uchaguzi wa chama cha KUPPET katika shule ya msingi ya Jamhuri. Naibu afisa mkuu wa polisi katika eneo la Westlands-Gigiri Daniel Burech,amesema majeruhi wamepelekwa katika hospitali jijini Nairobi kwa matibabu.Kwa mujibu wa mashahidi,gari hilo lilikuwa likiendeshwa kwa kasi wakati ajali hiyo ilipotokea. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive