Skip to main content
Skip to main content

Sifuna aashiria kujiuzulu ODM akitaja uongozi mpya kuwa hafifu

  • | Citizen TV
    11,541 views
    Duration: 3:25
    Tukisalia kwenye siasa za mpasuko wa chama cha chungwa, Katibu wa ODM Edwin Sifuna, ameashiria kuondokea wadhifa huo, akisema kuwa hataendelea kuhudumu chini ya uongozi anaoutaja kuwa hafifu. Akizungumza kwenye mkutano mbadala wa mrengo wa Linda Mwananchi, Sifuna amesema Kwamba hana Imani na Uongozi mpya wa ODM, hususan kwa sababu hawana msimamo kama Aliyekuwa Kinara wa chama hicho hayati Raila Odinga.