Skip to main content
Skip to main content

Yu wapi Kindiki? Maswali yameibuka kuhusu ni nani anayeongoza taifa Ruto akiwa nje ya nchi

  • | KTN News
    21,846 views
    Duration: 4:16
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Maswali kuhusu ni nani hasa kwa sasa anaongoza taifa yameibuka tena wakati Rais William Ruto akiwa nje ya nchi kwa takriban wiki moja, huku taifa likikabiliwa na mgogoro wa mafuta uliosababisha vifo na uharibifu katika maeneo mbalimbali.Ingawa Kenya ina Naibu Rais, Profesa Kithure Kindiki, mazungumzo kati ya serikali na wamiliki wa matatu yalisitishwa hadi Rais atakaporejea nchini, huku Waziri wa Mambo ya Ndani Kipchumba Murkomen akichukua jukumu la upatanishi kati ya pande hizo mbili.Swali linalojitokeza ni kama kuna mpango mpana wa kumtenga Naibu Rais na kudhoofisha jukumu lake wakati wa kutokuwepo kwa Rais. Mwanahabari Chris Thairu anaripoti. Follow the latest updates on the nationwide matatu strike in Kenya as operators protest rising fuel prices. Stay tuned for live coverage, traffic updates, commuter impact, government responses and reactions from across the country. Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews