- 19,523 viewsDuration: 2:45Mamia ya wafanyabiashara wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa, baada ya maduka yao kuvunjwa na bidhaa kuibwa kwenye maandamano ya hapo jana. Katika kaunti ya Naivasha, maduka matatu na magari tisa yaliteketezwa huku mali ikiibwa na makundi ya wahuni. Hali sawia ilishuhudiwa katika kaunti ya Murang’a ambapo wezi walivamia maduka mchana kutwa.