Skip to main content
Skip to main content

Kizaazaa Hospitali ya Lang’ata huku OCS Dishon Angoya akilazwa baada ya kukamatwa

  • | Citizen TV
    30,931 views
    Duration: 3:05
    Kizaazaa kilishuhudiwa nje ya Hospitali ya Lang’ata jijini Nairobi, ambako Mkuu wa Polisi wa Kituo cha Central, Dishon Angoya, amelazwa baada ya kukamatwa kwa madai ya kuwaachilia mahabusu waliokamatwa wakati wa maandamano. Angoya aliripotiwa kuugua muda mfupi baada ya kukamatwa kufuatia hatua yake ya kuwaachilia wafungwa 64 waliokuwa wakizuiliwa katika kituo hicho.