Mtu mmoja amefariki, 4 wameokolewa katika ajali ya mgodi Tanzania, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    3,711 views
    Mtu mmoja amefariki, na watu 4 kati ya 25 waliofukiwa na vifusi katika mgodi mdogo wa madini ya dhahabu mkoani Shinyanga nchini Tanzania wameokolewa wakiwa hai. Mgodi huo uliporomoka wakati zoezi la ukarabati wa mashimo lilipokuwa likiendelea. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw