Mtu mmoja amefariki na mafuriko kaunti ya Machakos

  • | Citizen TV
    692 views

    Kufuatia mafuriko katika eneo la Kinanie kaunti ya Machakos, mtu mmoja amefariki huku wengine 17 wakiokolewa.