Mtu mmoja anazuiliwa na polisi kaunti ya Kisii kwa ulanguzi wa mihadarati.

  • | Citizen TV
    414 views

    Maafisa wa polisi huko Kisii kwa ushirikiano na wenzao wa kitendo cha uhalifu wa kimataifa walimkamata mtu mmoja usiku wa kuamkia leo kwa ulanguzi wa mihadarati.