Mtu mmoja apigwa na kuuwawa Kericho

  • | Citizen TV
    944 views

    Mtu Mmoja ameaga dunia baada ya kupigwa na wakazi wa kata ya Kusumek katika eneo bunge la Bureti Kaunti ya Kericho.