Mtu mmoja apigwa risasi na afisa wa polisi Nairobi

  • | Citizen TV
    16,426 views

    Maafisa wa polisi wanasalia kwenye darubini baada ya afisa mmoja kumpiga risasi mchuuzi mmoja peupe hadharani wakati wa maandamano ya kudai haki ya mwanablogu aliyeuawa Albert Ojwang. Kwenye tukio hilo, afisa wa polisi alimlenga mchuuzi huyo aliyekuwa akiuza maski kabla ya kumlenga kichwani kwa risasi.